Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Taylor Swift sasa ni Trilionea rasmi

Taylor Swift Sasa Ni Trilionea Rasmi Taylor Swift sasa ni Trilionea rasmi

Fri, 27 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kwa mujibu wa CNN, Msanii Taylor Swift ana sifa nyingine ya kuwa Trilionea, Staa huyo wa Muziki wa Pop kwa sasa ameingia kwenye list ya Matrilionea Bloomberg analysis.

Bloomberg inasema kwa sasa thamani ya TylorSwift ni Dola Bilioni 1.1 (zaidi ya Sh. Trilioni 2.4) na hii ni kutokana na mafanikio makubwa ya ziara yake ya Eras ambayo ilisaidia kukuza uchumi wa Amerika msimu huu wa joto.

Bloomberg alisema Swift ni mmoja wa watumbuizaji wachache kufikia hadhi hiyo kutokana na muziki na uchezaji wake pekee.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live