Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Taylor Swift apewa heshima na Instagram

Taylor Swift Apewa Heshima Na Instagram Taylor Swift apewa heshima na Instagram

Wed, 17 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ikiwa zimebaki siku chache tuu mwanamuziki kutoka nchini #Marekani Taylor Swift kuachia album yake ya mpya iitwayo ‘The Tortured Poets Department’, msanii hiyo amepewa heshima na mtandao wa kijamii wa Instagram na Threads kwa kuwekewa feature ambayo haikuwahi kuwekwa kwa mtu yoyote yule.

Feature hiyo ambayo inaweza kukuonesha jina la album hiyo pamoja na muda uliyosalia kutolewa ambapo inayotarajiwa kutoka Aprili 19 ikiwa na nyimbo 16 huku ikitajwa kuwa na nyimbo tofauti ambazo ni The Manuscript, The Bolter, na The Albatross.

Kwa mujibu wa #Billboard hii itakuwa album ya 11 kwa #TaylorSwift hapo awali aliwahi kuachia album kama ‘Fearless (2008)’, ‘Taylor Swift (2006)’, ‘Speak Now (2010)’, ‘1989 (2014)’ na nyinginezo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live