Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Taylor Swift apagawa na Shabiki Ufaransa

Taylor Swift Miongoni Mwa Orodha Mpya Ya Watu Matajiri Zaidi Duniani   Forbes Taylor Swift

Fri, 10 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya wiki iliyopita msanii Taylor swift kushikiria nafasi kumi za juu (top ten) ya chat kubwa ya muziki ya Billboard Hot 100 ya chini marekani na duniani kwa ujumla, imepelekea shabiki wake mmoja kuchapisha chat hiyo na kwenda nayo kwenye tamasha la msanii huyo linalofahamika “ERAS TOUR” lililofanyika Katika viwanja vya “Paris La Defense Arena” jijini Paris Nchini Ufaransa.

Baada ya wiki iliyopita msanii Taylor swift kushikiria nafasi kumi za juu (top ten) ya chat kubwa ya muziki ya Billboard Hot 100 ya chini marekani na duniani kwa ujumla, imepelekea shabiki wake mmoja kuchapisha chat hiyo na kwenda nayo kwenye tamasha la msanii huyo linalofahamika “ERAS TOUR” lililofanyika Katika viwanja vya “Paris La Defense Arena” jijini Paris Nchini Ufaransa. Tayrol Swift ambae sasa hivi anafanya vizuri na albam yake inayofahamika kwa jina la THE TORTURED POETS DEPARTMENT amekuwa na muendelezo wa matamasha yake katika Nchi mbalimbali Duniani, Yalianza rasmi Tarehe 17/03/2023 katika uwanja wa “State Farm Stadium” Nchini Marekani na Inatarajiwa kumalizika Tarehe 08/12/2024 katika Eneo La “BC PLace” Mjini Vancoucer Nchini Cadana.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live