Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Tanzia: 'Kiongozi wa Mashtaka' afariki Dunia

Gibson Mbugua .jpeg Tanzia: 'Kiongozi wa Mashtaka' afariki Dunia

Thu, 22 Dec 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwigizaji maarufu wa vichekesho wa kipindi cha "Vioja Mahakamani" kinachorushwa na runinga ya KBC cha Kenya, Gibson Gathu Mbugua, almaarufu 'Kiongozi wa Mashtaka', amefariki dunia

Familia ya Gibson imeeleza kuwa mchekeshaji huyo amefariki dunia leo Alhamisi, Desemba 22 akiwa katika Hospitali ya Mediheal

Gibson Mbugua alikuwa anasumbuliwa na ugonjwa wa kisukari kwa zaidi ya miaka 20 na baadae alipata shida kwenye figo ambapo aliandaa harambee ya kumchangia gharama za upasuaji wa figo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live