Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Tanzia: Juma Baragaza Afariki Dunia

BARAGAZA 2?fit=519%2C383&ssl=1 Tanzia: Juma Baragaza Afariki Dunia

Sun, 8 Aug 2021 Chanzo: globalpublishers.co.tz

TANZIA: Mtangazaji maarufu wa Radio Free Afrika na Star TV, Juma Ahmed Baragaza amefariki dunia leo Agosti 7, 2021. Atakumbukwa zaidi katika vipindi mabli mbali alivyojipatia umaarufu ikiwemo Mambo Mambo na RFA, pamoja na Asili ya Mtanzania kupitia Star TV.

Taarifa zaidi kuhusu msiba huo tutaendelea kukujuza.

Chanzo: globalpublishers.co.tz