Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Tanzia: Director Khalimandro afariki Dunia

Khalimandro Director Khalimandro enzi za uhai wake

Sun, 5 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

TANZIA: Aliyekuwa Mtayarishaji wa Video za Muziki wa Bongo Flava Nchini, Khalfani Khalimandro amefariki Dunia

#DirectorKhalfani alilazwa katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) akiwa na tatizo la Damu kuvilia kwenye Ubongo lililomsababishia kupata Kiharusi (Stroke) upande wake wa kulia

Enzi za Uhai wake alijipatia umaarufu kwa kuongoza Video za Wasanii kama Aslay, NavyKenzo, Christian Bella, Baby Madaha, Chinbees, Shilole na Linah.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live