Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Tanzia: Dee Seven afariki dunia

Dee Seven907597 Tanzia: Dee Seven afariki dunia

Sun, 24 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mtangazaji mahiri aliyejipatia umaarufu mkubwa akiwa katika Kituo cha Redio cha Kiss FM cha jijini Mwanza, akitangaza kipindi cha African Beats, Hassan Wiboneya almaarufu Dee Seven, amefariki dunia.

Mtangazaji mahiri aliyejipatia umaarufu mkubwa akiwa katika Kituo cha Redio cha Kiss FM cha jijini Mwanza, akitangaza kipindi cha African Beats, Hassan Wiboneya almaarufu Dee Seven, amefariki dunia. Taarifa za kifo cha mtangazaji huyo nguli na mdau mkubwa wa muziki wa Hip Hop na Bongo Fleva, zimethibitishwa na watu wake wa karibu, akiwemo Filbert Kabago.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live