Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Tangu awe karibu na Diamond, kwa mara ya kwanza Dimpoz aonekana na Kiba

Dimpoz Mondi Kiba Kwa mara ya kwanza Dimpoz aonekana na Kiba

Mon, 6 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Supastaa wa Bongo Fleva, Ommy Dimpoz na Alikiba wameonekana pamoja kwa mara yakwaza tangu Dimpoz na Diamond warudishe urafiki wao.

Supastaa wa Bongo Fleva, Ommy Dimpoz na Alikiba wameonekana pamoja kwa mara yakwaza tangu Dimpoz na Diamond warudishe urafiki wao. Watu wengi walidhani kwamba Dimpoz atakuwa na tofauti na Alikiba baada yakurudisha urafiki na hasimu wake wa muda mrefu lakini aijawa ivo, Ommy na King wako safi na ni peace and love.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live