Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Tanasha Donna amfanyia kufuru mama Diamond - VIDEO

Tanasha Donna Amfanyia Kufuru Mama Diamond   VIDEO Tanasha Donna amfanyia kufuru mama Diamond

Thu, 28 Sep 2023 Chanzo: Mwananchi

Tanasha Donna, ambaye ni mzazi mwenzie Diamond, amedhihirisha kuwa hana ubaya na mama mzazi wa msanii huyo baada ya kutuma zawadi za birthday kwa mama Dangote.

Katika zawadi hizo Tanasha alimtumia Mama Dangote maua yaliyonakshiwa na ‘dola’ za kimarekani na vitu vingine.

Kupitia ukurasa wa Instagram wa mama Dangote amefurahishwa na kitendo alichokifanya Tanasha ambapo ame-share video iliyoambatana na ujumbe wa shukrani kwa kueleza kuwa ametoka site na kukutana na surprise ya zawadi ya birthday kutoka kwa Tanasha Donna.

View this post on Instagram

A post shared by Mwananchi Scoop (@mwananchiscoop)

Chanzo: Mwananchi