Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Tanasha: Diamond ni baba bora

Diamond Tanashaaa Tanasha na Diamond

Tue, 9 Aug 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Tanasha Donna; ni msanii wa muziki wa Kizazi Kipya nchini Kenya ambaye pia ni baby mama wa staa wa muziki nchini Tanzania, Diamond Platnumz.

Tanasha anasema Diamond ambaye ni bosi wa Lebo ya WCB anashiriki vizuri katika malezi ya mtoto wao.

“Kiukweli siyo mbaya, namaanisha kwamba anajitahidi kuwa baba bora na hilo nampa heshima yake,” anasema Tanasha ambaye amezaa mtoto mmoja na Diamond aitwaye Naseeb Junior (NJ).

Chanzo: www.tanzaniaweb.live