Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Takuro : Kijana anayeweza kuzungumza lugha yoyote duniani bila kujifunza

Takuro Yoshida Takuro Yoshida

Fri, 19 Aug 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kutoka Japan, kutana na kijana anayeitwa Takuro Yoshida kutoka eneo la Logbar mwenye uwezo wa kuongea lugha yeyote duniani.

Aligundua uwezo wake kwakua alikua hajui hata kuongea maneno ya kiingereza wala kuelewa na akaamua badala ya kusoma na kujifunza lugha mbalimbali yeye akaamua kutengeneza kifaa ambacho kinaweza kutafsiri lugha atakayoongea kwenda kwenye lugha yeyote na kutafsiri lugha yeyote atakayo ongea mtu mwingine na kuitafsiri kwenda kwenye lugha ambayo yeye anaielewa pasipo kuhitaji intaneti.

Takuro ni kijana wa tofauti ambaye amekuja na njia ya tofauti ambayo inamuwezesha kuongea lugha yeyote ile pasipo kujifunza.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live