Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Tabulele akutana na Harmonize, wafanya ngoma

Tabulele Akutana Na Harmonize, Wafanya Ngoma Tabulele akutana na Harmonize, wafanya ngoma

Thu, 30 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Tabulele, msanii kutoka Kongo, amewasili jana jijini Dar na moja kwa moja akaibuka studio kwa Harmonize.

Tabulele, msanii kutoka Kongo, amewasili jana jijini Dar na moja kwa moja akaibuka studio kwa Harmonize. Akiwa kwa Harmonize, amewashukuru Yanga SC kwa kumkutanisha na Harmonize na wataandaa usiku huo huo kutengeneza remix ya Tabulele ambayo itaachiwa usiku huohuo na leo kwenye hamasa za Mbagala utaimbwa wimbo huo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live