Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#TUZOFILAMU2021: Isarito Mwakalindile Muigizaji bora wa Kiume 2021

Kiume Bora Isarito Mwakalindile akipokea Tuzo yake

Sun, 19 Dec 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Tuzo ya Muigizaji Bora wa Kiume imekwenda kwa Isarito Mwakalindile kupitia filamu ya Obambo.

Ameibuka kinara katika kipengele hicho akiwashinda John Kokolo (Janga), Salum Ahmed (Kesho), Sadam Nawanda (Haikufuma), na Jacob Stephen -JB (Slay Queen).

Hafla ya utoaji wa Tuzo hizo imefanyika Jijini Mbeya Jumamosi ya Disemba 18.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live