Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#TUZOFILAMU2021: Godliver Godian Muigizaji Bora wa Kike 2021

Godliver Godliver akipokea tuzo yake kutoka kwa Naibu Spika, Mbunge wa Mbeya Mjini Tulia Ackson

Sun, 19 Dec 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanadada Godliver Godian ndiye Muigizaji Bora wa Kike 2021, amenyakua tuzo hiyo kupitia filamu ya Jua Kali.

Godliver amenyakua tuzo hiyo akiwapiku Christina Mroni (Decision), Johari Thabit (Malupelupe), Tishi Abdallah (Kesho), na Riyama Ali (Turufu).

Hafla ya utoaji wa Tuzo hizo imefanyika Jijini Mbeya.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live