Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

TUNDA KAFUNGUKA “Napenda vitu vizuri silipiwi na mtu nalala mpaka hotel ya laki 8”

2790 Sddefault 640x400

Wed, 7 Feb 2018 Chanzo: millardayo.com

Baada ya kusambaa video ya Tunda akila Bata na Kinje, Tunda amekubali kuzungumza AyoTV na millardayo.com na  ameelezea kuwa yeye havujishagi video na kuhusu kulala hoteli za nzuri na kula bata anajilipia yeye mwenyewe au wakati mwingine mpenzi wake lakini yeye anaweza kujilipia mpaka hotel ya Dolla 400..

..>>>“Mimi napenda vitu vizuri na penda kula sehemu nzuri na kulala sehemu nzuri hata kwangu ni pazuri sijawahi kupenda kula sehemu mbaya mimi siwezi kula uswahilini na napika nyumbani sipendi location mbaya na ninatumia hela yangu sijawahi kwenda na mwanaume nakuwaga peke yangu” – Tunda

Bonyeza PLAY hapa chini kumtazama TUNDA akielezea



EXCLUSIVE:TUNDA Kaelezea kila kitu kuhusu Mose Iyobo na Aunty Ezekiel



Tunda “Diamond nipo nae karibu, nionane na Zari niongee naye nini?

Chanzo: millardayo.com