Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

TRA yakiri kupokea malalamiko ya Diamond kufungiwa Akaunti

Mond XTRA TRA yakiri kupokea malalamiko ya Diamond kufungiwa Akaunti

Sat, 31 Dec 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) imetoa taarifa rasmi kuwa imeyapokea malalamiko ya Mfanyabiashara Naseeb Abdul alimaarufu kama Diamond Platnumz msanii wa bongofleva.

TRA imeeleza kuwa imeyapokea malalamiko yake na tayari imeshafanya mawasiliano na mhusika.

Jana Disemaba 30, kupitia kipindi cha "The switch" msanii huyo alilalamika kufanyiwa vitendo vusivyo vya kiungwana na Mamlaka ya Mapatao Tanzania (TRA) ikiwemo kuzuia Akaunti zake mbali ya kuwa analipa kodi kwa wakati pasipo shaka yoyote.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live