Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#TMAAwards: Wimbo bora wa mwaka, nani atabeba tuzo kati ya hawa?

Wimbo Boraa Wimbo bora wa mwaka

Sun, 20 Mar 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baraza la Sanaa la Taifa @basata.tanzania Limetangaza Wasanii wanaowania Tuzo za Muziki Tanzania (TMA).

Hii Ndio List Ya Wasanii Wanaowania Katika Kipengele Cha Wimbo Bora Wa Mwaka Kwa Upande Wa Bongo Fleva.

1: Sawa By #JUX 2: Bia Tamu By #MARIOO 3: Nimekuzoea By #NANDY 4: Zai By #MAUASAMA 5: Teacher By #HARMONIZE

Wimbo gani unafaa kunyakua tuzo hii?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live