Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#TMAAwards: Msanii Bora wa Kike - Bongo Fleva

Msanii Wa Kikeee #TMAAwards: Msanii Bora wa Kike - Bongo Fleva

Sun, 20 Mar 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baraza la Sanaa la Taifa @basata.tanzania Limetangaza Wasanii wanaowania Tuzo za Muziki Tanzania (TMA)

Hii Ndio List Ya Wasanii Wanaowania Katika Kipengele Cha Msanii Bora Wa Kike Wa Mwaka Upande Wa Bongo Fleva

1: #NANDY 2: #ROSAREE 3: #ANJELLA 4: #SARAPHINA 5: #MARRYG

Nani anafaa kunyakua tuzo hii?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live