Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

TID amuomba msamaha Magufuli kutofika kwenye maziko yake

TIDI  Ed TID amuomba msamaha Magufuli kutofika kwenye maziko yake

Fri, 26 Mar 2021 Chanzo: ippmedia.com

TID ameomba msamaha huo leo kapitia ukurasa wake wa Instagram.

TID ameomba msamaha huo leo kapitia ukurasa wake wa Instagram. "Hakika Ijumaa ya leo itabaki kuwa kwenye kichwa changu, maneno peke yake hayatoshi, naomba Allah akusamehe madhambi yako, pia huko ulipo nisamehe kwa kushindwa kufika mazikoni Chato" ameandika TID

Chanzo: ippmedia.com