Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

TBT Video: Shabiki alivyopigana na mabaunsa kisa Diamond

1531 Screen Shot 2018 01 18 At 4.37.37 PM 597x400.png

Thu, 18 Jan 2018 Chanzo: millardayo.com

 

Leo ni Alhamis ya  January 18,2018  wengi huiita siku hii Throw Back Thursday yani TBT ambapo hujikumbusha vitu vilivyopita, nimekutana na video clip ya miaka iliyopita ikimuonyesha staa wa  Bongofleva Diamond Platnumz  akiwa katika show ya utafutaji ili muziki wa Bongo Fleva uweze kufika mbali kimataifa na moja kati ya mashabiki akipigana na mabaunsa ili amshike tu Diamond Platnumz.

Bonyeza PLAY kuona mwanzo mwisho wa tukio hilo.



Stori ya Diamond na Tunda imefikia hapa?



 

 

Chanzo: millardayo.com