Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

TANZIA: Mtangazaji Gadner G Habash afariki Dunia

IMG 6798.jpeg Gadner G Habash

Sat, 20 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mtangazaji Mkongwe wa CloudsFM Gardner G. Habash amefariki dunia asubuhi ya leo katika Hospitali ya Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) alikokua amelazwa kwa siku kadhaa akipatiwa matibabu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live