Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

TANZIA: Msanii Mzee wa Mjegeje afariki dunia

TANZIA: Msanii Mzee Wa Mjegeje Afariki Dunia TANZIA: Msanii Mzee wa Mjegeje afariki dunia

Wed, 20 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii wa vichekesho Umar Lahbedi Issa maarufu kama @mzeewamjegejetz amefariki dunia leo Alfajiri katika Hospital ya Mwananyamala alipokuwa akipatiwa matibabu.

Msanii wa vichekesho Umar Lahbedi Issa maarufu kama @mzeewamjegejetz amefariki dunia leo Alfajiri katika Hospital ya Mwananyamala alipokuwa akipatiwa matibabu. Meneja wa msanii huyo, Real Jimmy amethibitisha taarifa hizo za kifo cha msanii wake aliyekuwa anaishi Bagamoyo, Mkoa wa Pwani.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live