Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

TAMTHILIA YA SULTAN: Thomas Nyandindi, Muigizaji wa sauti za maaskari wote

34887 Pic+siltan Thomas Nyandindi,

Fri, 4 Jan 2019 Chanzo: mwananchi.co.tz

Thomas Nyandindi,

Ni mshiriki kwenye sultan tangu ilivyoanza mpaka sasa.

Hucheza nafasi nyingi wakiwemo askari wote katika tamthiliya hiyo na mpiga mbiu.

Anasema Sanaa hii ya kutafsiri na kunakili sauti inazalisha ajira, na kutaka vijana wachangamkie.

Kitaluma anasema yeye ni msanii wa maigizo na sinema japokuwa bado hajatoboa kwenye tasnia hiyo kama ambavyo angependa.

Anasema anaomba watu watambue kipaji chake hususani wasanii wakongwe na wamshike mkono atimize ndoto zake. Anaeleza kuwa ana kipaji kinachohitaji kuungwa mkono kidogo na ndiyo maana ametumia jukwaa hilo kukionyesha na ameigiza lafudhi ya makabila mbalimbal.



Chanzo: mwananchi.co.tz