Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

T.I na mkewe washtakiwa kwa unyanyasaji

TI Na Mkewe.jpeg T.I na mkewe washtakiwa kwa unyanyasaji

Thu, 4 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamke mmoja kutoka nchini Marekani itwaye Jane Doe amefungua kesi Mahakamani ya kumshitaki rapper T.I na mkewe Tiny, kwa kumfanyia unyanyasaji wa kingono tukio lililotokea mwaka 2005.

Jane Doe alidai kuwa T.I na mkewe walimlewesha pombe kisha ‘rapa’ huyo alimlawiti huku mkewe akiwa anamkandamiza kitandani.

Si T.I tu na mkewe kumekuwa na wimbi la kufungua kesi za unyanyasaji wa kingono nchini Marekani kwa ‘mastaa’ mbalimbali wakiwemo Vin Diesel, Diddy, Cuba na wengineo huku lengo kubwa likiwa ni kudai fidia.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live