Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Sugu alilia Madaktari warembo toka Sudan

Sugu Warembo Muhimbili Sugu alilia Madaktari warembo toka Sudan

Tue, 20 Jun 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wakati Wanafunzi wa Udaktari wapatao 150 kutoka Sudan wakipokelewa katika Chuo cha Afya cha Muhimbili kwa ajili ya kumalizia masomo yao kutokana na changamoto ya usalama iliyopo nchini Sudan.

Wanafiunzi hao wamekuwa gumzo kwa Watanzania wengi mitandaoni tangu kuwasili kwao nchini.

Sasa aliyekuwa Mbunge wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi Sugu kupitia ukurasa wake wa Twitter ameandika;

"Haya mambo kila kitu inapendelewa Dar tuu ndio tunayakataa kila siku… Hata Mbeya ipo hospitali tena kubwa kabisa ya Rufaa, so nako wanafunzi hawa wangeletwa hata 10 tu"

Chanzo: www.tanzaniaweb.live