Menu ›
Burudani
Mon, 26 Sep 2022
Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Mkongwe wa muziki wa HipHop, Joseph Mbilinyi 'Mr II Sugu' amepigia misumari kauli ya mapenzi yanaenda sawa na pesa kwa kushea ujumbe unaoeleza kuwa pesa haiwezi kununua mapenzi lakini ikiwepo inaleta raha.
"Ni kweli money can't buy love but mkwanja kiasi ukiwepo unaleta raha kwenye mapenzi. Dogo langu Fred Vunja bei atakubaliana na mimi," amesema Sugu.
Ikumbukwe hata Barakah The Prince alishaimba kwamba mapenzi sio pesa ila pesa ikikosekana mapenzi yanapungua.
Chanzo: www.tanzaniaweb.live