Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Sugu: Hakuna msanii mwenye hit song nyingi kama mimi na AY

Sugu Ay Mwana Fasf Sugu: Hakuna msanii mwenye hit song nyingi kama mimi na AY

Fri, 3 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Legendary wa musiki wa Bongo Fleva, Joseph Mbilinyi maarufu kama Sugu au Jongwe amedai kuwa hakuna msanii wa Tanzania mwenye hit songs nyingi kama yeye na mkongwe mwenzake, Ambwene Yessaya 'AY'.

Legendary wa musiki wa Bongo Fleva, Joseph Mbilinyi maarufu kama Sugu au Jongwe amedai kuwa hakuna msanii wa Tanzania mwenye hit songs nyingi kama yeye na mkongwe mwenzake, Ambwene Yessaya 'AY'. “Katika wasanii wenye Hits nyingi Tanzania AY yumo ukiachilia mbali Sugu. AY amefika pale kwa sababu ya Nidhamu na anapenda anachokifanya hata maandalizi yake yamenyooka,” amesema Sugu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live