Menu ›
Burudani
Tue, 5 Jul 2022
Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Mwenyekiti wa sherehe ya harusi ya staa wa Bongo Fleva Nandy na Billnass, Steve Nyerere amependekeza siku ya harusi ya mastaa hao iwe siku ya mapumziko ili kila mmoja aweze kushuhudia tukio hilo.
Nyerere ameyasema hayo leo Februari 5, 2022 alipokuwa akifanya mahojiano na kituo kimoja cha radio cha jijini Dar.
"Napokea simu nyingi sana kutoka CNN, BBC, Al Jazeera na televisheni nyingi kutoka nchi tofauti wakiomba kurusha Live weeding ya Nandy na Billnass, napendekeza siku hiyo iwe ya mapumziko watu wasiende kazini ili waangalie wedding," alisema Steve Nyerere.
Chanzo: www.tanzaniaweb.live