Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Steve Nyerere ahoji Babu Tale kutunukiwa udaktari

STEVE NYERERE AD Steve Nyerere ahoji Babu Tale kutunukiwa udaktari

Mon, 30 Jan 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii wa filamu na Mwenyekiti wa Uzalendo kwanza Steve Nyerere amehoji kuhusu Udaktari wa heshima alioupata mdau wa muziki, Meneja wa Diamond na Mbunge wa Morogoro Kusini, Hamis Tale Tale maarufu kama Babu Tale.

Muigizaji huyo amedai haoni makubwa yaliyofanywa na mdau huyo wa muziki mpaka kufikia kupewa heshima hiyo.

“Babu Tale katunikiwa Udaktari, Udaktari upi?,” aliuliza Steve Nyerere huku anacheka.

Aliongeza; “Ni ule aliyetunukiwa Babu Tale basi watu wazima huchutama kwa kusema Babu Tale hongera. Lakini kuna watu wamesoma miaka 19 mambo bado,”

Steve amedai kama ni hivyo basi hata yeye kwa sasa anastahili kuwa daktari mbobezi kwa mambo aliyoyafanya kwa jamii kupitia Taifa hili.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live