Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Steve Nyerere: Sijiuzulu na wala sitoki, wakinitengua nakwenda mahakamani

STEVE WEB 22 Steve Nyerere: Sijiuzulu na wala sitoki, wakinitengua nakwenda mahakamani

Sun, 20 Mar 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kufuatia uteuzi wa Msanii wa Bongo Movies, Steve Nyerere kuteuliwa kuwa Msemaji wa Shirikisho la Muziki Tanzania (SMT) na sakata hilo kuibua hisia tofauti miongoni mwa wasanii wa tasnia hiyo, mwenyewe amevunja ukimya na kusema.

Kufuatia uteuzi wa Msanii wa Bongo Movies, Steve Nyerere kuteuliwa kuwa Msemaji wa Shirikisho la Muziki Tanzania (SMT) na sakata hilo kuibua hisia tofauti miongoni mwa wasanii wa tasnia hiyo, mwenyewe amevunja ukimya na kusema. "Sijiuzulu na wala sitoki, nina nia ya kuendeleza industry ya nchi hii,” amesema Steven Mengere, maarufu Steve Nyerere na kuongeza kwamba uteuzi wake ukitenguliwa atakwenda mahakamani.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live