Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Steph Curry kugombea Urais Marekani?

Curry Urais Nyota wa Golden State Warriors, Steph Curry

Fri, 15 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Nyota wa Golden State Warriors, Steph Curry ameulizwa na Mtangazaji wa CBS Mornings, Jericka Duncan kama siku moja anafikiria kuwa Rais wa Marekani? Steph Curry alijibu kwa kusema “Maybe” yaani Labda, kwani ana matamanio makubwa ya kuleta mabadiliko hivyo kama siasa ndio njia sahihi, basi ataifuata.

Nyota wa Golden State Warriors, Steph Curry ameulizwa na Mtangazaji wa CBS Mornings, Jericka Duncan kama siku moja anafikiria kuwa Rais wa Marekani? Steph Curry alijibu kwa kusema “Maybe” yaani Labda, kwani ana matamanio makubwa ya kuleta mabadiliko hivyo kama siasa ndio njia sahihi, basi ataifuata. “Nina hamu ya kuinua kila eneo la ushawishi wangu na kulitumia vizuri kwa kadri niwezavyo. Kwa hiyo kama hiyo ndio namna pekee ya kufanya, basi. Siwezi kusema Urais, lakini kama siasa ndio njia pekee ya kuleta mabadiliko yenye tija, siiondoi nafasi hiyo.” Alieleza Steph Curry.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live