Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Steph Curry amkataa P. Diddy

Steph Vs Diidy Steph Curry amkataa P. Diddy

Fri, 24 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya Lebron James kum-unfollow Rapa Diddy kwenye mtandao wa kijamii wa instagram, mara baada ya kuvuja kwa video yake ikimuonyesha akimfanyia unyanyasaji aliyekuwa mpenzi wake Cassie machi 2016, amejitokeza mkali mwingine wa mchezo wa mpira wa kikapu Stephen Curry anayekipiga kwenye timu ya kikapu ya Golden State Warriors inayoshiriki ligi kuu ya kikapu nchini marekani “NBA” ameamua kuacha kumfuata l Diddy kwenye mitandao ya kijamii ya Instagram na X.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live