Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Star wa Filamu ya "Lord of the Rings" afariki

Pete Smith Nyota wa Filamu, Pete Smith

Mon, 31 Jan 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Nyota wa filamu maarufu ya Lord of the Rings, Pete Smith (63) amefariki dunia baada ya kuugua ugonjwa wa figo kwa muda mrefu.

Mtoto wa nyota huyo Poumau Smith amethibitisha kuwa baba yake amekuwa akipambana na maradhi hayo kwa takribani miaka 7 na hivi karibuni alipatwa na tatizo la kusahau.

Smith atakumbukwa pia kwa kuigiza katika filamu na tamthilia kama Once were Warriors, The Piano, Other Halves, Heroes, Hugh & Heke.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live