Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Stamina afunguka kuhusu madai ya Uchawa wa Shetta

93037 Stamina+pic Stamina afunguka kuhusu madai ya Uchawa wa Shetta

Wed, 28 Jul 2021 Chanzo: eatv.tv

Stamina Shorwebwenzi amesema Shetta ni mtu ambaye anaangalia sana fursa na kwa vitu anavyofanya hawezi kumuweka kwenye engo ya uchawa kama baadhi ya watu wanavyomtafsiri.

Submitted by Shaluwa Anta on Jumanne , 27th Jul , 2021 Picha ya Stamina kulia, kushoto ni Shetta

"Shetta ni mjanja mjanja sana, kati ya wamba ambao nawaaminia yeye kiboko anajua kuitafuta fursa na haiachi ule ndio unyama na inavyotakiwa, watu wengi wanaeka kwenye angle ya uchawa kwangu mimi simuoni kama ni uchawa namuona kama fighter" ameeleza Stamina 

Stamina ameongeza kusema kuna vitu vingine anavyovifanya Shetta ambavyo yeye hawezi kuvifanya kwa sababu kwenye maisha lazima kuwe na mtu ambaye anachangamka.

Chanzo: eatv.tv