Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Stamina afikisha streams milioni 1 kwenye album ya Paradiso

ASFDGFADSHGGD.png Stamina afikisha streams milioni 1 kwenye album ya Paradiso

Tue, 7 Dec 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ndani ya wiki moja pekee tangu iachiwe rasmi, album mpya ya rapa Stamina "Paradiso" inazidi kubadilisha namba kila sekunde ikiwa na speed kali ya 5G.

Album hiyo ambayo ilitoka Jumatatu ya wiki iliyopita imepata mapokezi makubwa kwani tayari imefanikiwa kufikisha Streams Milioni Moja (1M) katika mtandao wa kusikilizia muziki wa Boomplay.

Paradiso ikiwa ni album ya pili kutoka kwa #Stamina tangu aanze muziki baada ya ile ya kwanza aliyoipa jina la ‘Mlima Uluguru’ ambayo ilitoka 2015, ina mkusanyiko wa jumla ya nyimbo 13, huku wasanii kama Bele 9, Aslay, Linah, Walter Chilambo wakipata shavu la kusikika kwenye album hiyo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live