Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Stage aliyopafomu Beyonce Dubai usipime (+Video)

Beyonce Stage In Dubai Perfomance Stage aliyopafomu Beyonce Dubai usipime

Mon, 23 Jan 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Hii ndio steji ambayo Beyonce ametumbuiza kwa saa moja mjini Dubai usiku wa kuamkia jana na kulipwa zaidi ya TSh. Bilioni 56.

Taarifa mpya zilizotoka baada ya onesho hilo kufana, Queen Bey yupo kwenye mazungumzo na Waandaaji wa Tuzo za Grammy kwa ajili ya kutumbuiza kwenye usiku wa Tuzo hizo, February 5 mwaka huu. Mtandao wa Variety umeripoti.

View this post on Instagram

A post shared by Dozen’s Selection (@dozenselection)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live