Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Staa wa You -Tube anunua mtaa mzima

MR BEAST Staa wa You -Tube anunua mtaa mzima

Thu, 11 May 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Jimmy Donaldson maarufu kama Mr. Beast, ni mtengeneza maudhui ya YouTube ambaye anatajwa kuwa YouTuber anayelipwa pesa ndefu zaidi.

Taarifa ikufikie kwamba katika kipindi cha miaka 5, amenunua nyumba 5 za gharama kwenye mtaa mmoja mjini North Carolina kwa ajili ya wafanyakazi wake kuishi.

Mtandao mmoja uliwahi kukaririwa kwamba, Mr. Beast anaingiza ($3 million) zaidi ya Bilioni 7 kwa mwezi kupitia matangazo ya YouTube pekee.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live