Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Staa wa Muziki atumia Mil 85 kufanya harusi, aonyesha majuto

CMB Prezzo Rapa wa Kenya Prezzo

Thu, 23 Feb 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rapa wa Kenya Prezzo amesema anajutia kutumia kiasi kikubwa cha pesa kwenye harusi yake na aliyekuwa mkewe, Daisy Kiplagat mwaka 2008.

Kwenye mahojiano na POVPodcastKenya, Prezzo alisema alitumia zaidi ya TSh. Milioni 85 kwenye harusi hiyo ambayo ilikuwa ya kifahari ikihusisha mialiko ya watu mashuhuri nchini humo.

Prezzo licha ya kupata mtoto na Daisy, walitalikiana mwaka 2013. Anasema kama ingekuwa ni wakati huu, basi angefunga tu ndoa ya kawaida kwenye ofisi ya Mwanasheria na mambo yangeisha.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live