Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Staa wa General Hospital afariki dunia

Staa Wa General Hospital Afariki Dunia Staa wa General Hospital afariki dunia

Wed, 1 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Muigizaji kutoka nchini Marekani mwenye umri wa miaka 50 Tyler Christopher amefariki dunia kwa mshituko wa moyo nyumbani kwake San Diego siku ya jana Jumanne.

Inaelezwa kuwa nyota huyo wa filamu ya ‘General Hospital’ aliwahi kuwa mtetezi wa afya ya akili na matibabu ya matumizi ya madawa za kulevya, alipambana na kuzungumzia kuhusiana na bipolar na unywaji wa pombe.

Muigizaji huyo pia aliwahi kuonekana katika filamu mbalimbali kama Stefan DiMera, Nikolas Cassadine, Connor Bishop.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live