Taarifa Zilizoibuka siku Za hivi Karibuni Zikidai Kwamba "Muigizaji Michael B. Jordan (35) anadaiwa kutoka Kimapenzi na mwanamitindo wa Uingereza Amber Jepson (26)" Sio Za Kweli
Kwa Mujibu Wa TSR, chanzo cha karibu na uuigizaji uuyo kiliwaambia Kuwa "wawili hao wala hawana mapenzi ya Siri Kwani hawajawahi hata Kukutana kabla"
Jarida La TheSun, Ndio Kilikuwa Chombo Cha Kwanza Kuripoti Taarifa Hii Wakisema Kwamba Wawili Hawa Walikuwa Katika hatua za awali za uhusiano wao na wamekuwa kwenye miadi nyingi wakati Michael B. Jordan akiwa nchini Uingereza, kufuatia ununuzi wake wa hisa kwenye klabu ya soka AFC Bournemouth hivi karibuni.
Hivyo The Shade Room Imethibitisha na Kukanusha Taarifa Hii Ambayo imekuja miezi 6 tu tangu Micahel B. Jordan aachane na Lori Harvey.