Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Staa wa Filamu afunguka kutokuwa na makazi maalum

Jason Momoa Muigizaji maarufu kutoka nchini Marekani Jason Momoa

Mon, 15 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Muigizaji maarufu kutoka nchini Marekani Jason Momoa amefunguka hali yake ya maisha kutokuwa na makazi maalum huku akidai kuwa hajali kabisa kukosa nyumba ya kuishi.

Muigizaji maarufu kutoka nchini Marekani Jason Momoa amefunguka hali yake ya maisha kutokuwa na makazi maalum huku akidai kuwa hajali kabisa kukosa nyumba ya kuishi. Muigizaji huyo ameeleza kuwa yeye huwa ana furahia hali hiyo na haoni sababu ya kukaa sehemu moja kutokana kazi yake ya Sanaa na hana mpango wakuwa na nyumba kwa sasa maisha yake yatakuwa ya kuzunguka kila maeneo ya ndani ya nchi na nje nchi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live