Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Staa avaa nguo ya ndani yenye vaibresheni, apagawa hadharani

ANITHA JOSEPH VIBRATOR.jpeg Anita avaa nguo ya ndani yenye Vaibresheni

Thu, 21 Jul 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Anita Joseph; ni staa wa filamu za Kinigeria ambaye ameacha watu midomo wazi kufuatia kuvaa nguo ya ndani yenye vaibresheni hivyo kuanza kupagawa hadharani.

Mumewe wa ndoa, MC Fish ndiye alikuwa anaikontroo vibrator husika kwa rimoti hadharani na kumfanya Anita kuvaibreiti.

Anita na MC Fish ni wanandoa ambao wamekuwa hawakaukiwi drama na vituko vingi vya kila kukicha hivyo kuifanya tasnia ya filamu nchini humo kufuatiliwa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live