Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Staa NBA analipa Milioni 2.5 kwa ajili ya kusafisha kucha

Shaq Oneal Nyota wa zamani wa NBA na Mtangazaji Shaq O’Neal

Tue, 12 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Nyota wa zamani wa NBA na Mtangazaji Shaq O’Neal amesema, huwa anatumia kiasi cha ($1,000) takribani TSh. Milioni 2.5 kwa ajili ya kusafisha kucha na miguu tu.

Nyota wa zamani wa NBA na Mtangazaji Shaq O’Neal amesema, huwa anatumia kiasi cha ($1,000) takribani TSh. Milioni 2.5 kwa ajili ya kusafisha kucha na miguu tu. Shaq anasema miguu yake huwa inanuka hivyo inambidi kuisafisha mara kwa mara.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live