Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Squid Game yavunja rekodi nyingine Netflix, imetazamwa kwa masaa bilioni 1.65

SQUIDEG.png Squid Game yavunja rekodi nyingine ya kutazamwa mara nyingi zaidi Netflix

Wed, 17 Nov 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Netflix imetoa data mpya za tamthilia yake iliyofanikiwa kufanya vizuri sana sokoni "Squid Game" - ikionesha kushika nafasi ya kwanza katika tamthilia ilizotazamwa kwa masaa mengi zaidi.



" Squid Game" imefanikiwa kutazamwa kwa masaa bilioni 1.65 ndani ya siku 28 tangu onesho lake la kwanza mwezi Septemba 17, kulingana na Netflix. Takwimu hizo hizo ni sawa na miaka 182,000 kwa jumla.



Netflix wametoa viwango vipya vya vipindi vya TV vya wakati wote kwa lugha za Kiingereza na zisizo za Kiingereza, kama sehemu ya kutangaza orodha zake 10 bora za kila wiki ambazo zinategemea saa za kutazama za waliojiunga na mtandao huo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live