Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Squid Game yapata 'subscribers' milioni 111

 120732447  4 Squid Game yapata 'subscribers' milioni 111

Mon, 18 Oct 2021 Chanzo: millardayo.com

TV Series ya 'Squid Game' inayofanya vizuri kwenye Netflix kwa sasa imetajwa kusababisha ongezeko la Watu wanaojifunza lugha ya Kikorea katika maeneo mbalimbali duniani.

Inaelezwa kuwa App ya kujifunzia lugha mbalimbali ya Duolingo imesema Watumiaji wapya milioni 7.67 walijiunga na App hiyo na kujifunza Kikorea baada ya Series hiyo kuoneshwa kwa mara ya kwanza Netflix.

Netflix wameitangaza series hiyo kuwa ndio iliyofanya vizuri zaidi katika historia baada ya kupata subscribers milioni 111 ndani ya muda mfupi na inakadiriwa kuingiza USD Milioni 900 kutokana na Watu kuitazama ndani ya muda mfupi.

Chanzo: millardayo.com