Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Spotify kuongeza Gharama za malipo

Spotify Spotify Spotify kuongeza Gharama za malipo

Wed, 5 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Platform ya kusambaza na kuuza muziki ulimwenguni, Spotify imetangaza kuongeza gharama za vifurushi vyake nchini Marekani.

Vifurushi hivyo vitaanzia Dola 5.99 sawa na Shilingi 15,000 mpaka Dola 16.99 sawa na shilingi 44,174 za Kitanzania.

Ongezeko hilo la gharama za vifurushi limefanyika ili kuupa thamani zaidi mtandao huo maarufu ulimwenguni. Huku gharama hizo zikitajwa kuanza kutumika mwezi ujao (Julai).

Chanzo: www.tanzaniaweb.live