Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Soulja Boy: Wanataka kuifunga kwa sababu yangu

Soulja Boy Says Soulja Boy.

Thu, 14 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rapa Soulja Boy anaamini kwamba marekani inaifungia TikTok kwasababu anaingiza pesa nyingi kupitia app hiyo.

Soulja anasema jana aliingiza kiasi cha $32k zaidi ya (Tsh milioni 81.6/=) "ndiyo maana wanajaribu kuifunga TikTok."

Hii ni baada ya bunge la Marekani rasmi jana kupitisha muswada wa kuufunga mtandao wa TikTok kama mmiliki wa kampuni hiyo ‘ByteDance’ toka China atagoma kuupiga bei mtandao huo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live