Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Sony wanunua asilimia 50 nyimbo za Michael Jackson

Michael Jackson Kesi Sony wanunua asilimia 50 nyimbo za Michael Jackson

Sat, 10 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kampuni ya muziki kutoka nchini #Marekani ‘Sony Music’ imeripotiwa kununua asilimia 50 ya nyimbo za marehemu Mfalme wa Pop Michael Jackson.

Dili hilo limekamilika kwa msaada wa familia ya marehemu MJ ambapo wamefanikiwa kuuza nyimbo alizoziandika na kuzirekodi Mj mwenyewe, kwa dola 1.3 bilioni ambazo ni sawa na tsh 3 trilioni.

Nyimbo ambazo #MJ aliziandika mwenyewe ni kama ‘Heal the World’, ‘Earth Song’, ‘The Way You Make Me Feel’, ‘Will You Be There’, ‘Bad’, ‘Childhood’, ‘Wanna Be Starting Something’, ‘I Just Can't Stop Loving You’, na nyinginezo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live