Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Somo alilotoa Jacquline Wolper kwa wanaume wa Bongo

3199 Screen Shot 2018 02 13 At 7.14.57 PM 599x400.png TZW

Wed, 14 Feb 2018 Chanzo: millardayo.com

Leo February 13,2018 nazidi kukusogezea karibu stories zilizochukua headlines kupitia mitandao ya kijamii ambapo kwenye upande wa instagram muigizaji Jacquline Wolper amewaponda wanaume wanaotegemea wanawake kupata kipato au fedha.

Kupitia instagram account ya Jacquline Wolper amepost video ya mchekeshaji Wakuvanga au Mama Atupele na kuandika caption “Naomba mjifunze kitu wanaume wadangaji, mnadangwa au unadanga mwisho wa siku unageuka houseboy kwa unayoenda kupambana nayo..sio kila unachoona kipo kama unavyoona! Haya katarina njoo hapa

Chanzo: millardayo.com