Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Snura: Nikifa msiposti picha zangu za utupu

SNURA AACHA MUZIKI.png Snura: Nikifa msiposti picha zangu za utupu

Mon, 29 Jul 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii Snura Mushi aliyetamba na wimbo wa Majanga ametangaza rasmi kuacha muziki na shughuli zote za kisanaa na kujikita zaidi kwenye dini na ameomba nyimbo zake zisipigwe tena sehemu yoyote.

"Naomba nikifa msipost picha zangu za ‘uchi’ mtandaoni"

Snura Mushi amewataka wasanii, Watanzania pamoja na wadau wa sanaa akifa hata kesho anaomba picha zake zilizopo mitandaoni kwa kuwa kufanya hivyo kutaiumiza zaidi familia.

Amedai picha zake nyingi zilizo mtandaoni ni mbaya na haziendani na maisha yake.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live